MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) ULIOFANYIKA TAREHE 15/05/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili.

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.