NAFASI ZA KAZI (AJIRA) ZILIZOTANGAZWA SERIKALINI

Ewe Mhitimu mwenye sifa zifuatazo tambua kuna nafasi wazi za kazi takribani maeneo/fani arobaini (40)  kwa ajili yako tafadhali tembelea To...

SEKRETARIETI YA AJIRA YAZIDI KUIMARISHA MIFUMO YAKE YA KUENDESHA MCHAKATO WA AJIRA

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma yenye jukumu la kuendesha mchakato wa ajira kwa niaba ya waajiri mbalimbali serikalini, imeend...

WAOMBAJI WA FURSA ZA AJIRA SERIKALINI WATAHADHARISHWA NA MATAPELI WA AJIRA

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inatoa tahadhari kwa wadau wake kujihadhari na matapeli wanaowapigia simu kwa kutumia majina y...