MATOKEO YA USAILI WA VITENDO CHUO CHA MAJI ULIOFANYIKA TAREHE 15/12/2024

Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.