MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA VITENDO KADA YA AFISA MAMBO YA NJE DARAJA LA II (FOREIGN SERVICE OFFICERS)

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, anawajulisha waombaji kazi wa kada ya AFISA MAMBO YA NJE DARAJA LA II (FOREIGN SERVICE OFFICER) kuwa kuna mabadiliko ya sehemu ya kufanyia usaili wa vitendo.