MATOKEO YA USAILI WA VITENDO CHUO CHA UFUNDI ARUSHA (ATC) ULIOFANYIKA TAREHE 15/12/2024

Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.