MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) ULIOFANYIKA TAREHE 01/11/2024

Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao