MABADILIKO YA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI LA TAREHE 11 JULAI 2023.

Waombaji  kazi wote mnatakiwa kuzingatia taarifa hii ya mabadiliko ya Tangazo la  nafasi za kazi lenye Kumb.Na.JA.9/259/01/A/334 ambalo lilitoka tarehe 11 Julai 2023 na badala yake litumike Tangazo la nafasi za kazi  lililotoka tarehe 12 Julai 2023.