Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi kwa kada zilizoainishwa kwenye tangazo hili kuwa, kuna mabadiliko ya tarehe za usaili wa vitendo na mahojiano.
Usaili wa vitendo na mahojiano utafanyika kwa tarehe zilizoainishwa kwenye jedwali hapo chini.