MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD OFFICERS II) ULIOFANYIKA TAREHE 07-11-2020
Wasailiwa waliochaguliwa?(SELECTED)?kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
- Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificate)