MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIA ULIOFANYIKA TAREHE 18/01/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.