MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) ULIOFANYIKA TAREHE 29/08/2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.