MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA ICT OFFICER II (DEVELOPER/PROGRAMMER)-TRA ULIOFANYIKA TAREHE 18-12-2022

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili watafanya Usaili wa Vitendo tarehe 31/12/2022 saa moja kamili (1:00) asubuhi kwa utaratibu ufuatao;
1. Wasailiwa waliofanyia usaili wa kuandika (Written Interview)  Dar es Salaam na Zanzibar watafanya usaili wa vitendo katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Dar es Salaam.
2. Wasailiwa waliofanyia usaili wa kuandika (Written Interview) Dodoma, Mwanza na Mbeya watafanya usaili wa vitendo katika 'College of Informatics and Virtue Education (CIVE)' ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dodoma.

Aidha;

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao