MABADILIKO YA ENEO LA KUFANYIA USAILI WA MAHOJIANO MWALIMU DARAJA LA IIIA MKOA WA TABORA

Waombaji kazi wote wa Kada ya MWALIMU DARAJA IIIA  walioitwa kwenye usaili wa Mahojiano ya tarehe 21.01.2025 Mkoa wa Tabora mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa Mahojiano.

Usaili wa Mahojiano utafanyika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) Tabora badala ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Tabora kama ilivyooneshwa kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili la tarehe 11.01.2025.