Katibu Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa kada ya Fundi Sanifu II - UPIMAJI ARDHI (Land Technician Survey II) ambayo mwajiri wake ni Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kwamba hakutakuwa na usaili wa kuandika (mchujo)