MATOKEO YA USAILI WA VITENDO WA VOCATIONAL TEACHER II – MASONRY AND BRICKLAYING - MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA)

Wasailiwa waliochaguliwa(SELECTED)kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao