Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote waliopangiwa kufanya usaili wa mahojiano kuzingatia mabadiliko ya tarehe na mahali pa kufanyia usaili kama ilivyoelekezwa kwenye kiambatisho hapo chini.