Wasailiwa waliochaguliwa (Selected) kuendelea na usaili wa vitendo (Pratical) wanatakiwa kufika College of Information and Communication Technologies (CoICT )- Kijitonyama-DSM?kwa ajili ya usaili huo, siku Jumamosi Tarehe 11-07-2020 saa moja kamili asubuhi.
Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa pia wanakumbushwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (Mask)