USAILI WA TAREHE 22 MACHI, 2026 UMEAHIRISHWA

Tarehe mpya ya usaili itatangazwa kupitia akaunti zenu za Ajira Portal, pamoja na tovuti rasmi ya Sekretarieti ya Ajira ambayo ni www.ajira.go.tz na mitandao rasmi ya kijamii ya Taasisi.