Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa kuandika kwa njia ya mtandao kwa
mwezi Machi 2025, wanajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe za usaili kwa baadhi
ya kada.Mabadiliko hayo yameoneshwa kwenye akaunti za waombaji kazi wote ambao tarehe zao za
usaili zimebadilika.