MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIC KIINGEREZA ULIOFANYIKA TAREHE 15/02/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.