Waombaji kazi wote wa Kada ya MWALIMU DARAJA IIIA walioitwa kwenye usaili wa Mahojiano ya tarehe 21.01.2025 Mkoa wa Dodoma mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa Mahojiano.