HUISHA TAARIFA ZA MAHALI ULIPO KWENYE AKAUNTI YAKO YA AJIRA PORTAL ILI KUPANGIWA KITUO CHA USAILI KARIBU YAKO

Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 28-29 Julai, 2025, mnatakiwa kuhuisha (update) taarifa katika akaunti zenu za ajira portal, kwa kuainisha mahali ulipo kwa sasa ili upangiwe kituo cha usaili karibu na eneo ulipo.