MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIC (UCHUMI, KILIMO, SHULE YA MSINGI ,TEHAMA NA URAIA) ULIOFANYIKA TAREHE 05/02/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.