Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
NB: (i) Kila msailiwa aliyechaguliwa kufanya usaili wa mahojiano anatakiwa kwenda kwenye Kanda ambayo alifanyia usaili wa Kuandika(Mchujo) na si vinginevyo.
(ii) Msailiwa ambaye ataenda kwenye Kanda ambayo hakufanya usaili wa Kuandika(Mchujo) hatoruhusiwa kufanya usaili huo.