MATOKEO YA USAILI WA VITENDO MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. 

Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.