MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (e-GA)

Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa vitendo wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe ya usaili wa vitendo na mahojiano.

Ratiba ya usaili inapatikana kwenye kiambatisho hapo chini.