MATOKEO YA USAILI WA VITENDO ULIOFANYIKA TAREHE 17-01-2021 KADA ZA TANAPA

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wa Mahojiano wanatakiwa kufika siku ya kesho Jumatatu Tarehe 18-01-2021,  saa moja kamili asubuhi eneo la ORJORO JKT.