MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIB (KEMIA, BAIOLOJIA,TEHAMA, JIOGRAFIA) NA MWALIMU DARAJA LA IIIA ELIMU YA AWALI ULIOFANYIKA TAREHE 22/01/2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.