Rejea tangazo la nafasi za kazi UDOM lenye Kumb. Na. JA./9/259/01/A/115 la tarehe 22 Juni, 2022 lenye kichwa cha habari "TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI UDOM". Kwa tangazo hili, Katibu Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatangazia Waombaji fursa za ajira kuwa maombi ya nafasi za kazi UDOM yamesitishwa kwa sasa mpaka hapo tangazo hilo litakapotangazwa tena.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.