MABADILIKO YA ENEO LA USAILI KWA WASAILIWA WA KADA YA AFISA UTUMISHI II - DAR ES SALAAM

Usaili wa Kada ya AFISA UTUMISHI II utafanyika katika ukumbi wa NYERERE LECTURE THEATRE 1 NA LECTURE THEATRE 2 ZILIZOPO CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) na SIYO MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY kama ilivyoonekana kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.

Aidha, Muda na tarehe ya Usaili utabaki vilevile kama unavyoonekana katika tangazo la awali.