Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili kwa kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu II kuwa kuna mabadiliko ya ukumbi wa kufanyia usaili.