Waombaji kazi wote mliotuma maombi ya kazi za MDA’s & LGA’s na Taasisi nyingine. Mnatakiwa kuhuisha (update) taarifa katika akaunti zenu za ajira portal, kwa kuainisha mahali ulipo kwa sasa ili upangiwe kituo cha usaili karibu na eneo lako.