MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA DEREVA-TRA ULIOFANYIKA TAREHE 17-12-2022

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili vitendo wanatakiwa kuzingatia kundi na tarehe waliopangiwa kufanya usaili kwa kundi husika kama inavyoonyesha kwenye kiambatanisho hapo chini. Aidha

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao