MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 01/10/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia ratiba, muda na eneo la usaili.

Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.