Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.