MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA ZA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI ULIOFANYIKA TAREHE 02-02-2023

Wasailiwa waliochaguliwa?(SELECTED)?kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao