MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 13/12/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. 

Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.