MPANGILIO WA KANDA ZA USAILI WA MAHOJIANO MEI HADI JUNI, 2025

Wasailiwa wote watakaofanya usaili wa mahojiano wa mwezi Mei hadi Juni, 2025 mnasisitizwa kuzingatia mpangilio wa vituo vya usaili wa mahojiano kama uliovyoainishwa kwenye kiambatisho hapo chini.