Kada zote zitakazofanya Usaili Tarehe 29 Januari, 2025, 05 Februari, 2025, 12 Februari, 2025 na 19 Februari, 2025 mnatakiwa kwenda katika Shule ya Sekondari Jitegemee (Mgulani Jkt Dar es Salaam) kwa ajili ya kufanya Usaili.
Aidha, muda wa usaili utabaki kama ulivyo kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye