MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA ICT OFFICER II (SYSTEM DEVELOPER) ULIOFANYIKA TAREHE 15/11/2024

Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.