MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA (MUST) ULIOFANYIKA TAREHE 11/09/2025

Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.