MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA ZA TAASISI ZA PURA,GCLA,TMA,MPRU,TAFORI,GPSA,AQRB, NARCO NA PCT ULIOFANYIKA TAREHE 06-09-2022 DODOMA

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao