MATOKEO YA USAILI WA VITENDO-KADA ZA 'ICT OFFICER', NA 'DATA MANAGER', -WIZARA YA AFYA ULIOFANYIKA TAREHE 24-04-2022 CIVE DODOMA

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao