MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA ZA VETA ULIOFANYIKA KUANZIA TAREHE 19 HADI 23-06-2022
Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
- Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
- Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
- Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao