MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIA (TEACHER GRADE IIIA) ULIOFANYIKA TAREHE 20-21/12/2025

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. 

Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.