Waombaji kazi wote wa Kada za ualimu walioitwa kwenye usaili Mkoa wa Shinyanga mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya mahali pa kufanyia usaili wa kuandika pamoja na usaili wa mahojiano