MATOKEO YA USAILI WA VITENDO ULIOFANYIKA TAREHE 19-20/05/2025 WAKALA WA VIPIMO (WMA)

Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili.

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.