MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU CHA MWALIMU JULIUS K.NYERERE CHA KILIMO NA TEKNOLOJIA (MJNUAT) ULIOFANYIKA TAREHE 14/12/2024

Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.