MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 23-08-2021 KADA YA CLINICAL OFFICER II & VOCATIONAL TEACHER II-MASONRY & BRICKLAYING-VETA

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao