Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
MUHIMU: Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na usaili kwa kada za MOI, wanajulishwa kuwa usaili wao utafanyika katika ofisi zilizopo kwenye viwanja vya maeonesho Sabasaba zilizopo Kilwa Road-Dar es Salaam
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao